Friday, 24 April 2015

KUHUSU YULE MUME JAMBAZI!!,MKE MTARAJIWA APASUA JIPU MAKUBWA YAIBUKA CHEKI VIDEO HAPA MWANAMKE ANAVYOFUNGUKA



Stephano akiwa na mpenzi wake mpenzi wake, Happy Merere baada ya kumvisha pete ya uchumba.KWELI! Baada ya mitandao mbalimbali kuripoti habari zinazokinzana juu ya tukio la bwana harusi mtarajiwa aliyetajwa kwa jina la Stephano kunaswa kwenye tukio la ujambazi muda mfupi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Happy Merere, bi. Harusi huyo mtarajiwa ameibuka na kuanika ukweli wa mambo, Risasi Jumamosi lina full
stori.Stephano na wenzake watatu walikamatwa Aprili 21, mwaka huu maeneo ya Red Cross jijini Dar akidaiwa kuhusika katika tukio la kumpora fedha Mzungu mmoja raia wa kigeni pale Kinondoni, Dar.
Kwenye tukio hilo, watuhumiwa hao, akiwemo Stephano au mume mtarajiwa wa Happy waliwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi

No comments:

Post a Comment